Psalms 118:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nifungulie milango ya watu waadilifu, niingie na kumshukuru Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nifungulieni malango ya haki, Nitaingia na kumshukuru Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nifungulie milango ya watu waadilifu, niingie na kumshukuru Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nifungulieni malango ya haki, Nitaingia na kumshukuru BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nifungulie milango ya watu waadilifu, niingie na kumshukuru Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nifungulieni malango ya kuingia kwake wongofu, niingie humo, nimshukuru Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nifungulieni malango ya haki, Nitaingia na kumshukuru BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munifungulie milango ya watu wa haki, niingie na kumushukuru Yawe!