Psalms 118:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huu ndio mlango wa Mwenyezi-Mungu, watu waadilifu watapitia humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ni lango la Mwenyezi Mungu ambalo wenye haki wanaweza kuliingia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lango hili ni la Bwana, Wenye haki ndio watakaoliingia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huu ndio mlango wa Mwenyezi-Mungu, watu waadilifu watapitia humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ni lango la BWANA ambalo wenye haki wanaweza kuliingia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ni lango la bwana ambalo wenye haki wanaweza kuliingia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lango hili ni la BWANA, Wenye haki ndio watakaoliingia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huu ndio mlango wa Mwenyezi-Mungu, watu waadilifu watapitia humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo lango la kuingia mwake Bwana; waongofu ndio watakaoliingia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lango hili ni la BWANA, Wenye haki ndio watakaoliingia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huu ndio mulango wa Yawe, watu wa haki watapitia humo.