Psalms 118:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakushukuru, ee Mungu kwa kunijibu; kwa sababu wewe ni wokovu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wokovu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakushukuru, ee Mungu kwa kunijibu; kwa sababu wewe ni wokovu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wakovu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wokovu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakushukuru, ee Mungu kwa kunijibu; kwa sababu wewe ni wokovu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninakushukuru, kwa kuwa uliniitikia, maana ulinijia, ukawa mwokozi wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakushukuru, ee Yawe, kwa kunijibu; kwa sababu wewe ni wokovu wangu.