Psalms 118:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiyo ni kazi yake Mwenyezi-Mungu nayo ni ya ajabu sana kwetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiyo ni kazi yake Mwenyezi-Mungu nayo ni ya ajabu sana kwetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiyo ni kazi yake Mwenyezi-Mungu nayo ni ya ajabu sana kwetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo vimefanywa na Bwana; nasi tukivitazama, ni vya kustaajabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni Yawe aliyefanya jambo hili, nalo ni ajabu sana kwetu.