Psalms 118:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hii ndiyo siku aliyoifanya Mwenyezi-Mungu; tushangilie na kufurahi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo siku Mwenyezi Mungu aliyoifanya, tushangilie na kufurahi ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, Tutashangilia na kuifurahia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hii ndiyo siku aliyoifanya Mwenyezi-Mungu; tushangilie na kufurahi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo siku BWANA aliyoifanya, tushangilie na kufurahi ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo siku bwana aliyoifanya, tushangilie na kufurahi ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na kuifurahia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hii ndiyo siku aliyoifanya Mwenyezi-Mungu; tushangilie na kufurahi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii ni siku, Bwana aliyoitengeneza; na tushangilie na kuifurahia!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na kuifurahia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo siku aliyoifanya Yawe; tushangilie na kufurahi.