Psalms 118:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tafadhali utuokoe, ee Mwenyezi-Mungu! Tafadhali utufanikishe, ee Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, tuokoe, Ee Mwenyezi Mungu, utujalie mafanikio.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, utuokoe, twakusihi; Ee Bwana, utufanikishe, twakusihi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tafadhali utuokoe, ee Mwenyezi-Mungu! Tafadhali utufanikishe, ee Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, tuokoe, Ee BWANA, utujalie mafanikio.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, tuokoe, Ee bwana, utujalie mafanikio.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, utuokoe, twakusihi; Ee BWANA, utufanikishe, twakusihi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tafadhali utuokoe, ee Mwenyezi-Mungu! Tafadhali utufanikishe, ee Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
E Bwana, tunakuomba: Tuokoe! E Bwana, tunakuomb: Tupe kushinda!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, utuokoe, twakusihi; Ee BWANA, utufanikishe, twakusihi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tafazali utuokoe, ee Yawe! Tafazali utubariki, ee Yawe!