Psalms 118:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Mwenyezi-Mungu! Twawabariki kutoka nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri yule ajaye kwa jina la Mwenyezi Mungu. Kutoka nyumba ya Mwenyezi Mungu tunakubariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na abarikiwe yeye ajaye kwa jina la Bwana; Tumewabarikia toka nyumbani mwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Mwenyezi-Mungu! Twawabariki kutoka nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri yule ajaye kwa jina la BWANA. Kutoka katika nyumba ya BWANA tunakubariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri yule ajaye kwa jina la bwana. Kutoka nyumba ya bwana tunakubariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na abarikiwe yeye ajaye kwa jina la BWANA; Tumewabariki toka nyumbani mwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Mwenyezi-Mungu! Twawabariki kutoka nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na atukuzwe ajaye kwa Jina la Bwana! Tuliomo Nyumbani mwake Bwana tunawabariki ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na abarikiwe yeye ajaye kwa jina la BWANA; Tumewabarikia toka nyumbani mwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abarikiwe huyu anayekuja kwa jina la Yawe! Tunawabariki kutoka katika nyumba ya Yawe.