Psalms 118:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ni Mungu wangu, nami ninakushukuru; ninakutukuza, ee Mungu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru, wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiwe Mungu wangu, nami nitakushukuru, Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ni Mungu wangu, nami ninakushukuru; ninakutukuza, ee Mungu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru, wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru, wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiwe Mungu wangu, nami nitakushukuru, Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ni Mungu wangu, nami ninakushukuru; ninakutukuza, ee Mungu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu wangu ni wewe, ninakushukuru; Mungu wangu, ninakutukuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiwe Mungu wangu, nami nitakushukuru, Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ni Mungu wangu, ninakushukuru; ninakutukuza, ee Mungu wangu.