Psalms 118:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazawa wa Aroni na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyumba ya Haruni na iseme sasa: “Fadhili zake zadumu milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mlango wa Haruni na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazawa wa Aroni na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyumba ya Aroni na iseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyumba ya Haruni na iseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mlango wa Haruni na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazawa wa Aroni na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio wa mlango wa Haroni na waseme: Upole wake ni wa kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mlango wa Haruni na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazao wa Haruni waseme: “Wema wake unadumu milele.”