Psalms 118:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote wamchao Mwenyezi-Mungu na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wanaomcha Mwenyezi Mungu na waseme sasa: “Fadhili zake zadumu milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamchao Bwana na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote wamchao Mwenyezi-Mungu na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wamchao BWANA na waseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wamchao bwana na waseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamchao BWANA na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote wamchao Mwenyezi-Mungu na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamwogopao Bwana na waseme: Upole wake ni wa kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamchao BWANA na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wanaomwabudu Yawe waseme: “Wema wake unadumu milele.”