Psalms 118:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika taabu yangu nilimwomba Mwenyezi-Mungu, naye akanisikia na kuniweka huru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wa maumivu yangu makuu, nilimlilia Mwenyezi Mungu, naye akanijibu kwa kuniweka huru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika shida yangu nalimwita Bwana; Bwana akanijibu akaniweka panapo nafasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika taabu yangu nilimwomba Mwenyezi-Mungu, naye akanisikia na kuniweka huru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wa maumivu yangu makuu nilimlilia BWANA, naye akanijibu kwa kuniweka huru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wa maumivu yangu makuu nilimlilia bwana, naye akanijibu kwa kuniweka huru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika shida yangu nilimwita BWANA; BWANA akanijibu akaniweka panapo nafasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika taabu yangu nilimwomba Mwenyezi-Mungu, naye akanisikia na kuniweka huru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niliposongeka nalimwita Bwana, naye Bwana akaniitikia na kunipanulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika shida yangu nalimwita BWANA; BWANA akanijibu akaniweka panapo nafasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika taabu yangu nilimwomba Yawe, naye akanisikia na kuniweka huru.