Psalms 118:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu yuko nami, siogopi kitu; binadamu ataweza kunifanya nini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu yuko pamoja nami, sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana yuko upande wangu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu yuko nami, siogopi kitu; binadamu ataweza kunifanya nini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA yuko pamoja nami, sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana yuko pamoja nami, sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA yuko upande wangu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu yuko nami, siogopi kitu; binadamu ataweza kunifanya nini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akiwa upande wangu, sitaogopa; maana aliye mtu atanifanyia nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA yuko upande wangu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe yuko nami, siogopi kitu; mwanadamu ataweza kunifanya nini?