Psalms 118:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu yuko nami, kunisaidia; nami nitawaona maadui zangu wameshindwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu yuko pamoja nami, yeye ni msaidizi wangu. Nitawatazama adui zangu wakiwa wameshindwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana yuko upande wangu, msaidizi wangu, Kwa hiyo nitawaona wanaonichukia wameshindwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu yuko nami, kunisaidia; nami nitawaona maadui zangu wameshindwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA yuko pamoja nami, yeye ni msaidizi wangu. Nitawatazama adui zangu kwa furaha wakiwa wameshindwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana yuko pamoja nami, yeye ni msaidizi wangu. Nitawatazama adui zangu wakiwa wameshindwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA yuko upande wangu, msaada wangu, Kwa hiyo nitawaona wanaonichukia wakiwa wameshindwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu yuko nami, kunisaidia; nami nitawaona maadui zangu wameshindwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akiwa upande wangu na kunisaidia, ndipo, nitakapowafurahia wachukivu wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA yuko upande wangu, msaidizi wangu, Kwa hiyo nitawaona wanaonichukia wameshindwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe yuko nami kwa kunisaidia; nami nitawaona waadui zangu wameshindwa.