Psalms 118:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kumtumainia mwanadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni bora kumkimbilia Mwenyezi Mungu kuliko kumtumainia mwanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni heri kumkimbilia Bwana Kuliko kuwatumainia wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kumtumainia mwanadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni bora kumkimbilia BWANA kuliko kumtumainia mwanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni bora kumkimbilia bwana kuliko kumtumainia mwanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni heri kumkimbilia BWANA Kuliko kuwatumainia wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kumtumainia mwanadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumkimbilia Bwana kunafaa kuliko kuegemea watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni heri kumkimbilia BWANA Kuliko kuwatumainia wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Afazali kumukimbilia Yawe kuliko kumutumainia mwanadamu.