Psalms 118:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwatumainia viongozi wa dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni bora kumkimbilia Mwenyezi Mungu kuliko kuwatumainia wakuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni heri kumkimbilia Bwana. Kuliko kuwatumainia wakuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwatumainia viongozi wa dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni bora kumkimbilia BWANA kuliko kuwatumainia wakuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni bora kumkimbilia bwana kuliko kuwatumainia wakuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni heri kumkimbilia BWANA. Kuliko kuwatumainia wakuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwatumainia viongozi wa dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumkimbilia Bwana kunafaa kuliko kuegemea wakuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni heri kumkimbilia BWANA. Kuliko kuwatumainia wakuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Afazali kumukimbilia Yawe, kuliko kuwatumainia waongozi wa dunia.