Psalms 119:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri watu wanaoishi bila kosa, wanaozingatia sheria ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri wale walio waadilifu katika njia zao, wanaoenenda katika Torati ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri watu wanaoishi bila kosa, wanaozingatia sheria ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri wale walio waadilifu katika njia zao, wanaoenenda katika sheria ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri wale walio waadilifu katika njia zao, wanaoenenda katika Torati ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri watu wanaoishi bila kosa, wanaozingatia sheria ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye shangwe ndio wao wanaofuata njia zisizokosesha, wanaoendelea kuyafuata Maonyo yake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri watu wanaoishi katika ukamilifu, wanaofuata sheria ya Yawe.