Psalms 119:101 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Najizuia nisifuate njia mbaya, nipate kulizingatia neno lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimezuia miguu yangu isiende kwenye kila njia mbaya, ili niweze kutii neno lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimeiepusha miguu yangu na kila njia mbaya, Ili nilitii neno lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Najizuia nisifuate njia mbaya, nipate kulizingatia neno lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimezuia miguu yangu ili isiende kwenye kila njia mbaya, ili niweze kutii neno lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimezuia miguu yangu isiende kwenye kila njia mbaya, ili niweze kutii neno lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeiepusha miguu yangu na kila njia mbaya, Ili nilitii neno lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Najizuia nisifuate njia mbaya, nipate kulizingatia neno lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miguu yangu nimeikataza kushika njia mbaya yo yote, nipate kulishika Neno lako na kulifuata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimeiepusha miguu yangu na kila njia mbaya, Ili nilitii neno lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninajizuiza kufuata njia mbaya, kusudi nipate kushika neno lako.