Psalms 119:107 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, ninateseka mno; unijalie uhai kama ulivyoahidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeteseka sana, uhifadhi maisha yangu, Ee Mwenyezi Mungu, sawasawa na neno lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimeteswa mno; Ee Bwana, unihuishe sawasawa na neno lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, ninateseka mno; unijalie uhai kama ulivyoahidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeteseka sana, uhifadhi maisha yangu, Ee BWANA, sawasawa na neno lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeteseka sana, uhifadhi maisha yangu, Ee bwana, sawasawa na neno lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeteswa mno; Ee BWANA, unihuishe sawasawa na neno lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, ninateseka mno; unijalie uhai kama ulivyoahidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, nimenyenyekezwa sanasana; nirudishe uzimani, kama ulivyosema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimeteswa mno; Ee BWANA, unihuishe sawasawa na neno lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ninateseka sana; unirudishie uzima kama ulivyoahidi.