Psalms 119:108 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, upokee sala yangu ya shukrani; na kunifundisha maagizo yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, pokea sifa za hiari za kinywa changu, nifundishe sheria zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uziridhie sadaka za kinywa changu, Na kunifundisha hukumu zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, upokee sala yangu ya shukrani; na kunifundisha maagizo yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, pokea sifa za hiari za kinywa changu, nifundishe sheria zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, pokea sifa za hiari za kinywa changu, nifundishe sheria zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uziridhie sadaka za kinywa changu, Na kunifundisha hukumu zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, upokee sala yangu ya shukrani; na kunifundisha maagizo yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vipaji, kinywa changu kinavyopenda kuvitoa, na vikupendeze, Bwana! Na unifundishe maamuzi yako, niyajue!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uziridhie sadaka za kinywa changu, Na kunifundisha hukumu zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, upokee maombi yangu ya shukrani, na kunielezea maamuzi yako.