Psalms 119:117 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unitegemeze, niwe salama; niwe daima msikivu kwa masharti yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitegemeze, nami nitaokolewa, nami daima nitayaheshimu maagizo yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unisaidie nami nitakuwa salama, Nami nitaziangalia amri zako daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unitegemeze, niwe salama; niwe daima msikivu kwa masharti yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitegemeze nami nitaokolewa, nami daima nitayaheshimu maagizo yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitegemeze, nami nitaokolewa, nami daima nitayaheshimu maagizo yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unisaidie nami nitakuwa salama, Nami nitaziangalia amri zako daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unitegemeze, niwe salama; niwe daima msikivu kwa masharti yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unitie nguvu, nipate kuokoka! Nami na niyatazame maongozi yako siku zote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unisaidie nami nitakuwa salama, Nami nitaziangalia amri zako daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unishike nipate kuwa salama, nikuwe siku zote musikilivu kwa masharti yako.