Psalms 119:121 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimefanya mambo mema na adili; usiniache makuchani mwa maadui zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimetenda yaliyo haki na sawa, usiniache mikononi mwa watesi wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimefanya hukumu na haki, Usiniache mikononi mwao wanaonionea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimefanya mambo mema na adili; usiniache makuchani mwa maadui zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimetenda lililo haki na sawa, usiniache mikononi mwa watesi wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimetenda yaliyo haki na sawa, usiniache mikononi mwa watesi wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimefanya hukumu na haki, Usiniache mikononi mwao wanaonionea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimefanya mambo mema na adili; usiniache makuchani mwa maadui zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimefanya yaliyo sawa yenye wongofu, usinitoe na kunitia mikononi mwao wanikorofishao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimefanya hukumu na haki, Usiniache mikononi mwao wanaonionea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimefanya mambo mema na ya haki; usiniache katika makucha ya waadui zangu.