Psalms 119:123 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Macho yangu yanafifia nikingojea uniokoe, nikingojea utimize uliyoahidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Macho yangu yamefifia, yakitazamia wokovu wako, na kuitazamia ahadi yako ya kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho yangu yamefifia kwa kuutamani wokovu wako, Na ahadi ya haki yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Macho yangu yanafifia nikingojea uniokoe, nikingojea utimize uliyoahidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Macho yangu yamefifia, kuutazamia wokovu wako, kwa kuitazamia ahadi yako ya kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Macho yangu yamefifia, yakitazamia wokovu wako, na kuitazamia ahadi yako ya kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho yangu yanafifia kwa kuungojea wokovu wako, Na kutimizwa kwa ahadi yako ya haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Macho yangu yanafifia nikingojea uniokoe, nikingojea utimize uliyoahidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho yangu yamepata kiwi kwa kuuchungulia wokovu wako na kwa kulichungulia Neno lako lililo lenye wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho yangu yamefifia kwa kuutamani wokovu wako, Na ahadi ya haki yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Macho yangu yanafifia nikingojea uniokoe, nikingojea utimize uliyoahidi.