Psalms 119:126 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, sasa ni wakati wa kufanya kitu, kwa maana watu wanavunja sheria yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, wakati wako wa kutenda umewadia, kwa kuwa sheria yako inavunjwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati umewadia Bwana atende kazi; Kwa kuwa wameitangua sheria yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, sasa ni wakati wa kufanya kitu, kwa maana watu wanavunja sheria yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, wakati wako wa kutenda umewadia, kwa kuwa sheria yako inavunjwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, wakati wako wa kutenda umewadia, kwa kuwa sheria yako inavunjwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati umewadia BWANA atende kazi; Kwa kuwa wameitangua sheria yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, sasa ni wakati wa kufanya kitu, kwa maana watu wanavunja sheria yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zimetimia, Bwana afanye kitu, maana Maonyo yako wameyatengua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati umewadia BWANA atende kazi; Kwa kuwa wameitangua sheria yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, sasa ni wakati wa kutenda kitu, kwa maana watu wanavunja sheria yako.