Psalms 119:133 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniimarishie hatua zangu kama ulivyoahidi; usikubali mimi nitawaliwe na uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ongoza hatua zangu kulingana na neno lako, usiache dhambi yoyote initawale.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uzielekeze hatua zangu kwa neno lako, Uovu usije ukanimiliki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniimarishie hatua zangu kama ulivyoahidi; usikubali mimi nitawaliwe na uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ongoza hatua zangu kulingana na neno lako, usiache dhambi yo yote initawale.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ongoza hatua zangu kulingana na neno lako, usiache dhambi yoyote initawale.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uzielekeze hatua zangu kwa neno lako, Uovu usije ukanimiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniimarishie hatua zangu kama ulivyoahidi; usikubali mimi nitawaliwe na uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenendo wangu uutie nguvu, ulifuate Neno lako, upotovu uwao wote usije kunitawala!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uzielekeze hatua zangu kwa neno lako, Uovu usije ukanimiliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)