Psalms 119:135 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniangazie uso wako kwa wema, unifundishe masharti yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwangazie mtumishi wako uso wako na unifundishe amri zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umwangazie mtumishi wako uso wako, Na kunifundisha amri zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniangazie uso wako kwa wema, unifundishe masharti yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umwangazie mtumishi wako uso wako na unifundishe amri zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwangazie mtumishi wako uso wako na unifundishe amri zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umwangazie mtumishi wako uso wako, Na kunifundisha amri zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniangazie uso wako kwa wema, unifundishe masharti yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwangazie mtumishi wako uso wako, unifundishe maongozi yako, niyajue!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umwangazie mtumishi wako uso wako, Na kunifundisha amri zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniangazie uso wako kwa wema, unifundishe masharti yako.