Psalms 119:137 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, wewe ni mwadilifu; na hukumu zako ni za haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, wewe ni mwenye haki, sheria zako ni sahihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, Wewe ndiwe mwenye haki, Na hukumu zako ni za adili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, wewe ni mwadilifu; na hukumu zako ni za haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, wewe ni mwenye haki, sheria zako ni sahihi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, wewe ni mwenye haki, sheria zako ni sahihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, Wewe ndiwe mwenye haki, Na hukumu zako ni za adili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, wewe ni mwadilifu; na hukumu zako ni za haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe Bwana ndiwe mwongofu, nayo maamuzi yako kunyoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, Wewe ndiwe mwenye haki, Na hukumu zako ni za adili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, wewe ni wa haki; na hukumu zako ni za usawa.