Psalms 119:138 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umetoa maamuzi yako, kwa haki na uthabiti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sheria ulizoziweka ni za haki, ni za kuaminika kikamilifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeziagiza shuhuda zako kwa haki, Na kwa uaminifu mwingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umetoa maamuzi yako, kwa haki na uthabiti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sheria ulizoweka ni za haki, ni za kuaminika kikamilifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sheria ulizoziweka ni za haki, ni za kuaminika kikamilifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeziagiza shuhuda zako kwa haki, Na kwa uaminifu mwingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umetoa maamuzi yako, kwa haki na uthabiti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo yanayopasa, uyashuhudie wewe, umeyaagiza kuwa yenye wongofu na welekevu kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeziagiza shuhuda zako kwa haki, Na kwa uaminifu mwingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umetoa maagizo yako, kwa haki na uaminifu.