Psalms 119:140 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahadi yako ni hakika kabisa, nami mtumishi wako naipenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu, mtumishi wako anazipenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno lako limesafika sana, Kwa hiyo mtumishi wako amelipenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahadi yako ni hakika kabisa, nami mtumishi wako naipenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu, mtumishi wako anazipenda,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu, mtumishi wako anazipenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno lako limesafika sana, Kwa hiyo mtumishi wako amelipenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahadi yako ni hakika kabisa, nami mtumishi wako naipenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno lako liko, limeng'azwa kabisa, kwa hiyo amelipenda mtumishi wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno lako limesafika sana, Kwa hiyo mtumishi wako amelipenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahadi yako ni hakika kabisa, nami mutumishi wako ninaipenda.