Psalms 119:145 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakulilia kwa moyo wangu wote; unijibu, ee Mwenyezi-Mungu, nifuate kanuni zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, ninakuita kwa moyo wangu wote, nami nitayatii maagizo yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimeita kwa moyo wangu wote; Ee Bwana, uitike; Nitazishika amri zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakulilia kwa moyo wangu wote; unijibu, ee Mwenyezi-Mungu, nifuate kanuni zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, ninakuita kwa moyo wangu wote, nami nitayatii maagizo yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, ninakuita kwa moyo wangu wote, nami nitayatii maagizo yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeita kwa moyo wangu wote; Ee BWANA, uitike; Nitazishika amri zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakulilia kwa moyo wangu wote; unijibu, ee Mwenyezi-Mungu, nifuate kanuni zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimeita kwa moyo wangu wote, niitikie, Bwana! Maongozi yako na niyashike!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimeita kwa moyo wangu wote; Ee BWANA, uitike; Nitazishika amri zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakulilia kwa moyo wangu wote; unijibu, ee Yawe, nifuate masharti yako.