Psalms 119:149 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, unisikie; unisalimishe kwa uadilifu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako, Ee Mwenyezi Mungu, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na sheria zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uisikie sauti yangu sawasawa na fadhili zako, Ee Bwana, unihuishe sawasawa na hukumu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, unisikie; unisalimishe kwa uadilifu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako. Ee BWANA, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na sheria zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako, Ee bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na sheria zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa fadhili zako uisikie sauti yangu, Ee BWANA, uniokoe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, unisikie; unisalimishe kwa uadilifu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isikie sauti yangu kwa upoke wako! Bwana, kwa hivyo, maamuzi yako yalivyo, nirudishe uzimani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uisikie sauti yangu sawasawa na fadhili zako, Ee BWANA, unihuishe sawasawa na hukumu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa wema wako, ee Yawe, unisikilize; kwa haki yako, unirudishie uzima.