Psalms 119:151 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe u karibu nami, ee Mwenyezi-Mungu, na amri zako zote ni za kuaminika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, hata hivyo wewe u karibu, na amri zako zote ni za kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, Wewe U karibu, Na maagizo yako yote ni kweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe u karibu nami, ee Mwenyezi-Mungu, na amri zako zote ni za kuaminika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, hata hivyo wewe u karibu, na amri zako zote ni za kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, hata hivyo wewe u karibu, na amri zako zote ni za kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, Wewe U karibu, Na maagizo yako yote ni kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wewe u karibu nami, ee Mwenyezi-Mungu, na amri zako zote ni za kuaminika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe, Bwana, uko karibu, nayo maagizo yako yote ndiyo ya kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, Wewe U karibu, Na maagizo yako yote ni kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe ni karibu nami, ee Yawe, na amri zako zote ni za kuaminiwa.