Psalms 119:152 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tangu zamani, nimejifunza maamuzi yako; ambayo umeyaweka hata yadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tangu zamani nimejifunza kutoka shuhuda zako kwamba umezithibitisha ili zidumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tokea zamani nimejua kwa shuhuda zako, Ya kuwa umeziweka zikae milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tangu zamani, nimejifunza maamuzi yako; ambayo umeyaweka hata yadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tangu zamani nimejifunza toka shuhuda zako, kwamba umezithibitisha ili zidumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tangu zamani nimejifunza kutoka shuhuda zako kwamba umezithibitisha ili zidumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tokea zamani nimejua kwa shuhuda zako, Ya kuwa umeziweka zikae milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tangu zamani, nimejifunza maamuzi yako; ambayo umeyaweka hata yadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tangu kale ninayajua mashuhuda yako, nayo yalinifundisha, ya kuwa uliyawekea msingi, yawepo kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tokea zamani nimejua kwa shuhuda zako, Ya kuwa umeziweka zikae milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tangu zamani, nimejifunza maagizo yako ambazo umeziweka hata zidumu milele.