Psalms 119:156 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huruma yako ni kubwa, ee Mwenyezi-Mungu, unijalie uhai kama ulivyoahidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, huruma zako ni kuu, uyahifadhi maisha yangu sawasawa na sheria zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, rehema zako ni nyingi, Unihuishe sawasawa na hukumu zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huruma yako ni kubwa, ee Mwenyezi-Mungu, unijalie uhai kama ulivyoahidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, huruma zako ni kuu, uhifadhi maisha yangu sawasawa na sheria zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, huruma zako ni kuu, uyahifadhi maisha yangu sawasawa na sheria zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, rehema zako ni nyingi, Unihuishe sawasawa na hukumu zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huruma yako ni kubwa, ee Mwenyezi-Mungu, unijalie uhai kama ulivyoahidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huruma zako, Bwana, ulizotupatia, huwa nyingi, kwa hivyo, maamuzi yako yalivyo, nirudishe uzimani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, rehema zako ni nyingi, Unihuishe sawasawa na hukumu zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Rehema yako ni kubwa, ee Yawe, unirudishie uzima kama ulivyoahidi.