Psalms 119:159 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama, ee Mungu, ninavyozipenda kanuni zako! Unijalie uhai kadiri ya fadhili zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama jinsi ninavyopenda mausia yako; Ee Mwenyezi Mungu, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na upendo wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uangalie niyapendavyo mausia yako, Ee Bwana, unihuishe sawasawa na fadhili zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama, ee Mungu, ninavyozipenda kanuni zako! Unijalie uhai kadiri ya fadhili zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama jinsi ninavyopenda mausia yako; Ee BWANA, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na upendo wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama jinsi ninavyopenda mausia yako; Ee bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na upendo wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uangalie niyapendavyo mausia yako, Ee BWANA, unihuishe sawasawa na fadhili zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama, ee Mungu, ninavyozipenda kanuni zako! Unijalie uhai kadiri ya fadhili zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama, jinsi ninavyozipenda amri zako! Bwana, kwa upole wako nirudishe uzimani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uangalie niyapendavyo mausia yako, Ee BWANA, unihuishe sawasawa na fadhili zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia, ee Mungu, ninavyopenda kanuni zako! Unirudishie uzima kadiri ya wema wako.