Psalms 119:166 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, nakungojea uniokoe; mimi natimiza amri zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, ninangojea wokovu wako, nami ninafuata amri zako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, nimeungojea wokovu wako, Na maagizo yako nimeyatenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, nakungojea uniokoe; mimi natimiza amri zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, ninangojea wokovu wako, nami ninafuata amri zako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, ninangojea wokovu wako, nami ninafuata amri zako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, nimeungojea wokovu wako, Na maagizo yako nimeyatenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, nakungojea uniokoe; mimi natimiza amri zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, wokovu wako nimeutazamia, nayo maagizo yako nimeyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, nimeungojea wokovu wako, Na maagizo yako nimeyatenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ninakungojea uniokoe; mimi ninatimiza amri zako.