Psalms 119:169 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kilio changu kikufikie, ee Mwenyezi-Mungu! Unijalie akili kama ulivyoahidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, kilio changu na kifike mbele zako, nipe ufahamu sawasawa na neno lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, kilio changu na kikukaribie, Unifahamishe sawasawa na neno lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kilio changu kikufikie, ee Mwenyezi-Mungu! Unijalie akili kama ulivyoahidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, kilio changu na kifike mbele zako, nipe ufahamu sawasawa na neno lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, kilio changu na kifike mbele zako, nipe ufahamu sawasawa na neno lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, kilio changu na kikufikie, Unifahamishe sawasawa na neno lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kilio changu kikufikie, ee Mwenyezi-Mungu! Unijalie akili kama ulivyoahidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malalamiko yangu na yakufikie karibu usoni pako, Bwana! Kama ulivyosema, nipe utambuzi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, kilio changu na kikukaribie, Unifahamishe sawasawa na neno lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kilio changu kikufikie, ee Yawe! Unijalie akili kama ulivyoahidi.