Psalms 119:173 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwe daima tayari kunisaidia, maana nimeamua kufuata kanuni zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkono wako uwe tayari kunisaidia, kwa kuwa nimechagua mausia yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkono wako na uwe tayari kunisaidia, Maana nimeyachagua mausia yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwe daima tayari kunisaidia, maana nimeamua kufuata kanuni zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkono wako na uwe tayari kunisaidia, kwa kuwa nimechagua mausia yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkono wako uwe tayari kunisaidia, kwa kuwa nimechagua mausia yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkono wako na uwe tayari kunisaidia, Maana nimeyachagua mausia yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwe daima tayari kunisaidia, maana nimeamua kufuata kanuni zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkono wako na uje kunisaidia mimi! Kwani amri zako ndizo, nilizozichagua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkono wako na uwe tayari kunisaidia, Maana nimeyachagua mausia yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukuwe siku zote tayari kunisaidia, maana nimeamua kufuata kanuni zako.