Psalms 119:174 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Natazamia sana uniokoe, ee Mwenyezi-Mungu; sheria yako ndiyo furaha yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, ninatamani wokovu wako, na sheria yako ni furaha yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, nimeutamani wokovu wako, Na sheria yako ndiyo furaha yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Natazamia sana uniokoe, ee Mwenyezi-Mungu; sheria yako ndiyo furaha yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, ninatamani wokovu wako, na sheria yako ni furaha yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, ninatamani wokovu wako, na sheria yako ni furaha yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, nimeutamani wokovu wako, Na sheria yako ndiyo furaha yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Natazamia sana uniokoe, ee Mwenyezi-Mungu; sheria yako ndiyo furaha yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wokovu wako, Bwana, nimeutunukia, nayo Maonyo yako ndiyo yanayonichangamsha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, nimeutamani wokovu wako, Na sheria yako ndiyo furaha yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninatamani sana uniokoe, ee Yawe; sheria yako ndiyo furaha yangu.