Psalms 119:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watu wasiotenda uovu kamwe, bali daima hufuata njia zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wasiofanya lolote lililo baya, wanaoenenda katika njia zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, hawakutenda ubatili, Wamekwenda katika njia zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watu wasiotenda uovu kamwe, bali daima hufuata njia zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wasiofanya lo lote lililo baya, wanaoenenda katika njia zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wasiofanya lolote lililo baya, wanaoenenda katika njia zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, hawakutenda ubatili, Wamekwenda katika njia zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watu wasiotenda uovu kamwe, bali daima hufuata njia zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawafanyi mapotovu hata kidogo, ila njia zake ndizo, wanazoendelea kuzishika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, hawakutenda ubatili, Wamekwenda katika njia zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watu wasiotenda uovu hata kidogo, lakini wanafuata siku zote njia zake.