Psalms 119:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nazingatia maamuzi yako, ee Mwenyezi-Mungu; usikubali niaibishwe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeng’ang’ania sheria zako, Ee Mwenyezi Mungu, usiniache niaibishwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimeambatana na shuhuda zako, Ee Bwana, usiniaibishe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nazingatia maamuzi yako, ee Mwenyezi-Mungu; usikubali niaibishwe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeng'ang'ania sheria zako, Ee BWANA, usiniache niaibishwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeng’ang’ania sheria zako, Ee bwana, usiniache niaibishwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeambatana na shuhuda zako, Ee BWANA, usiniaibishe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nazingatia maamuzi yako, ee Mwenyezi-Mungu; usikubali niaibishwe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ambayo nimegandamana nayo, ndiyo mashuhuda yako; Bwana, usiniache, nikatwezwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimeambatana na shuhuda zako, Ee BWANA, usiniaibishe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninashikamana na maagizo yako, ee Yawe; usikubali nipatishwe haya!