Psalms 119:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, unifundishe kutii masharti yako; nami nitayashika mpaka mwisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, nifundishe kuyafuata maagizo yako, nami nitayashika hadi mwisho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unifundishe njia ya amri zako, Nami nitaishika hata mwisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, unifundishe kutii masharti yako; nami nitayashika mpaka mwisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, nifundishe kuyafuata maagizo yako, nami nitayashika mpaka mwisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, nifundishe kuyafuata maagizo yako, nami nitayashika mpaka mwisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, unifundishe njia ya amri zako, Nami nitaishika hadi mwisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, unifundishe kutii masharti yako; nami nitayashika mpaka mwisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nifunze, Bwana, niijue njia ya maongozi yako, niishike na kuifuata mpaka mwisho!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unifundishe njia ya amri zako, Nami nitaishika hata mwisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, unifundishe kutii masharti yako, nami nitayashika mpaka mwisho.