Psalms 119:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fadhili zako zinijie, ee Mwenyezi-Mungu; uniokoe kama ulivyoahidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, upendo wako usiokoma unijie, wokovu wako sawasawa na ahadi yako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, fadhili zako zinifikie na mimi, Naam, wokovu wako sawasawa na ahadi yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fadhili zako zinijie, ee Mwenyezi-Mungu; uniokoe kama ulivyoahidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, upendo wako usiokoma na unijie, wokovu wako sawasawa na ahadi yako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, upendo wako usiokoma unijie, wokovu wako sawasawa na ahadi yako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, fadhili zako zinifikie na mimi, Naam, wokovu wako kulingana na ahadi yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fadhili zako zinijie, ee Mwenyezi-Mungu; uniokoe kama ulivyoahidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Magawio ya upole wako, Bwana, na yanijie! Uniokoe, kama ulivyosema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, fadhili zako zinifikie na mimi, Naam, wokovu wako sawasawa na ahadi yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wema wako unifikie, ee Yawe; uniokoe kama ulivyoahidi.