Psalms 119:48 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naziheshimu na kuzipenda amri zako; nitayatafakari masharti yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu, nami ninatafakari juu ya maagizo yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mikono yangu nitayainulia maagizo yako niliyoyapenda, Nami nitazitafakari amri zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naziheshimu na kuzipenda amri zako; nitayatafakari masharti yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninaziinulia amri zako mikono yangu, ambazo ninazipenda, nami ninatafakari juu ya maagizo yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu, nami ninatafakari juu ya maagizo yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mikono yangu nitayainulia maagizo yako niliyoyapenda, Nami nitazitafakari amri zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naziheshimu na kuzipenda amri zako; nitayatafakari masharti yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata mikono yangu nitaiinulia maagizo yako kwa kuyapenda, nayo maongozi yako nitayawaza moyoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mikono yangu nitayainulia maagizo yako niliyoyapenda, Nami nitazitafakari amri zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninaziheshimu na kuzipenda amri zako; nitafikiri juu ya masharti yako.