Psalms 119:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti mwenendo wangu ungeimarika, kwa kuyafuata masharti yako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti mwenendo wangu ungekuwa imara katika kuyatii maagizo yako!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ningependa njia zangu ziwe thabiti, Nizitii amri zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti mwenendo wangu ungeimarika, kwa kuyafuata masharti yako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti, mwenendo wangu ungekuwa imara katika kuyatii maagizo yako!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti mwenendo wangu ungekuwa imara katika kuyatii maagizo yako!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ningependa njia zangu ziwe thabiti, Nizitii amri zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti mwenendo wangu ungeimarika, kwa kuyafuata masharti yako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninataka sana, njia zangu zishupazwe, niyashike maongozi yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ningependa njia zangu ziwe thabiti, Nizitii amri zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mwenendo wangu ungeimarika kwa kuyafuata masharti yako!