Psalms 119:52 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninapoyakumbuka maagizo yako ya tangu kale, nafarijika, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, ninazikumbuka sheria zako za zamani, nazo zinanifariji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimezikumbuka hukumu zako za kale, Ee Bwana, nikajifariji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninapoyakumbuka maagizo yako ya tangu kale, nafarijika, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, ninazikumbuka sheria zako za zamani, nazo zinanifariji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, ninazikumbuka sheria zako za zamani, nazo zinanifariji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ninapozikumbuka hukumu zako za tangu kale, Ee BWANA, ninafarijika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninapoyakumbuka maagizo yako ya tangu kale, nafarijika, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninapoyakumbuka maamuzi yako, Bwana, uliyoyaamua tangu kale, ndipo, ninapoutuliza moyo wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimezikumbuka hukumu zako za kale, Ee BWANA, nikajifariji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninapokumbuka maamuzi yako ya tangu zamani, ninafarijika, ee Yawe.