Psalms 119:54 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Masharti yako yamekuwa wimbo wangu, nikiwa huku ugenini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maagizo yako ni kiini cha nyimbo zangu popote ninapoishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amri zako zimekuwa nyimbo zangu, Katika nyumba ya ugeni wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Masharti yako yamekuwa wimbo wangu, nikiwa huku ugenini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maagizo yako ni kiini cha nyimbo zangu po pote ninapoishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maagizo yako ni kiini cha nyimbo zangu popote ninapoishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amri zako zimekuwa nyimbo zangu, Katika nyumba yangu ya ugenini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Masharti yako yamekuwa wimbo wangu, nikiwa huku ugenini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maongozi yako ndiyo, ninayoyaimbia namo nyumbani, nilimotua nilipokuwa mgeni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amri zako zimekuwa nyimbo zangu, Katika nyumba ya ugeni wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Masharti yako yamekuwa wimbo wangu, nikikuwa huku kama mugeni.