Psalms 119:55 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiku ninakukumbuka, ee Mwenyezi-Mungu, na kushika sheria yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, wakati wa usiku ninalikumbuka jina lako, nami nitatii sheria yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati wa usiku nimelikumbuka jina lako, Ee Bwana, nikaitii sheria yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiku ninakukumbuka, ee Mwenyezi-Mungu, na kushika sheria yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, wakati wa usiku ninalikumbuka jina lako, nami nitatii sheria yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, wakati wa usiku ninalikumbuka jina lako, nami nitatii sheria yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati wa usiku nimelikumbuka jina lako, Ee BWANA, nikaitii sheria yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiku ninakukumbuka, ee Mwenyezi-Mungu, na kushika sheria yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jina lako, Bwana, nalikumbuka nao usiku, niyashike Maonyo yako, niyafuate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati wa usiku nimelikumbuka jina lako, Ee BWANA, nikaitii sheria yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiku ninakukumbuka, ee Yawe, na kushika sheria yako.