Psalms 119:57 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe riziki yangu kuu; naahidi kushika maneno yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, wewe ni fungu langu, nimeahidi kuyatii maneno yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye aliye fungu langu, Nimesema kwamba nitayatii maneno yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe riziki yangu kuu; naahidi kushika maneno yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, wewe ni fungu langu, nimeahidi kuyatii maneno yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, wewe ni fungu langu, nimeahidi kuyatii maneno yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ndiye aliye fungu langu, Ninaahidi kuyatii maneno yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe riziki yangu kuu; naahidi kushika maneno yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni fungu langu! ndivyo, nilivyosema; kwa hiyo nayashika maneno yako na kuyafuata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ndiye aliye fungu langu, Nimesema kwamba nitayatii maneno yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe, ee Yawe, ndiwe hitaji langu lote; ninaahidi kushika maneno yako.