Psalms 119:65 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umenitendea vema mimi mtumishi wako, kama ulivyoahidi, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtendee wema mtumishi wako Ee Mwenyezi Mungu, sawasawa na neno lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umemtendea mema mtumishi wako, Ee Bwana, sawasawa na neno lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umenitendea vema mimi mtumishi wako, kama ulivyoahidi, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtendee wema mtumishi wako Ee BWANA, sawasawa na neno lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtendee wema mtumishi wako Ee bwana, sawasawa na neno lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umemtendea mtumishi wako mema, Ee BWANA, sawasawa na neno lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umenitendea vema mimi mtumishi wako, kama ulivyoahidi, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtumishi wako umemfanyizia mema, kama ulivyosema, Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umemtendea mema mtumishi wako, Ee BWANA, sawasawa na neno lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umenitendea vizuri mimi mutumishi wako, kama ulivyoahidi, ee Yawe.