Psalms 119:75 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Najua hukumu zako ni adili, ee Mwenyezi-Mungu, na kwamba umeniadhibu kwani wewe ni mwaminifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, ninajua kwamba sheria zako ni za haki, katika uaminifu wako umeniadhibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Najua ya kuwa hukumu zako ni za haki, Ee Bwana, na kwa uaminifu umenitesa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Najua hukumu zako ni adili, ee Mwenyezi-Mungu, na kwamba umeniadhibu kwani wewe ni mwaminifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, ninajua kwamba sheria zako ni za haki, katika uaminifu wako umeniadhibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, ninajua kwamba sheria zako ni za haki, katika uaminifu wako umeniadhibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Najua ya kuwa hukumu zako ni za haki, Ee BWANA, na kwa uaminifu umenitesa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Najua hukumu zako ni adili, ee Mwenyezi-Mungu, na kwamba umeniadhibu kwani wewe ni mwaminifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimeyajua maamuzi yako, Bwana, kuwa yenye wongofu, maana umeninyenyekeza kwa welekevu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Najua ya kuwa hukumu zako ni za haki, Ee BWANA, na kwa uaminifu umenitesa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninajua kwamba maamuzi yako ni ya haki, ee Yawe, na kwamba umeniazibu maana wewe ni mwaminifu.